Mkeka Umetiki Lyrics – Rayvanny

Mkeka Umetiki Lyrics - Rayvanny

Song Details:-
Song Title:- Mkeka Umetiki
Artist:- Rayvanny


“Mkeka Umetiki Lyrics”

Rayvanny

Shemeji yenu kanuna wala hacheki
Kaondoka nyumbani sababu ninabeti
Mikeka inabuma kila nikiseti
Sa leo muindi kajichanganya kudadadeki

Oya nilishatia jamvi mechi nacheki kwa TV
Nikampa Barcelona huku nikampa Chelsea
Manu Arsenal nikaomba watoe GG
Nawashukuru Madrid wamenipa over ya three

We mama mtu rudi nyumbani mkeka umetiki
We mama mtu rudi magetoni mkeka umetiki
We mama mtu rudi nyumbani mkeka umetiki
We mama mtu nyumbani kumenoga mkeka umetiki

Utanunua abaya sio kijora mtoto
Request bajaji mama tuna mtoko
Muindi kakanyaga leo nauwasha moto
Na huoni mkeka wa kulia kuna wa kushoto

Nilivyompania kaji bahi wala hakuchomoa ngo’
Wanacheza Man City sa Haaland hapo anakosaje goal
Liverpool yuko nyumbani ni hatari watampiga mtu four
Cashout sitaki PSG nataka ashinde adraw

Huu mkeka umetoa sa mambo na haingai
Hizi shida ndogo ndogo nyumbani byе bye
Na leo na upwiru basi fanya uhai
Rudi sitaki nikucheat kuna mauti

Mama rudi nyumbani mkеka umetiki
We mama mtu rudi magetoni mkeka umetiki
We mama mtu rudi nyumbani mkeka umetiki
We mama mtu nyumbani kumenoga mkeka umetiki

“THE END”


Rayvanny – Mkeka Umetiki (Official Music Video)

#MkekaUmetikiLyrics #Rayvanny #MkekaUmetiki #Lyrics #Lyricsilly

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

eleven + 13 =